Madulu Matafu Chipunyu
New Member
- Jun 13, 2024
- 2
- 2
Wadau mwenye uelewa wa sheria za nactvet. Hivi ni lazima kwa wanafunzi wa certificate na diploma kulipa ada ya mahafali ndio wafanye mitihani.
Baadhi ya wanafunzi wamezuiliwa kufanya mitihani yao licha ya kulipa ada na ada ya mitihani huku chuo kikisema sheria ya shule lazima ulipe ada ya mahafali ndio ufanye mtihani.
Hii imekaaje, mbona kama haki ya wanafunzi inapuuzwa, inawezekanaje kugharimikia mahafali kabla ya mtihani na kufaulu?