Wanafunzi wa education sua mnajila..

sir mushi

Senior Member
Joined
May 26, 2013
Posts
143
Reaction score
52
minaona wakati mwingine mtu unafanya maisha yakawa magumu mwenyewe, mtu unachagua education sua, ukija huku kwa semista unasoma cozi tisa natena nyingine hazina mahusisno kabisa na ualimu, baada ya semista, maumivu ya kichwa yanaanza kutotimiza credt hours, si bora ungekwenda udom!??? kwanza C inaanza 35 na ukicheki ualimu mishahara yao ni sawa na mnahajiriwa wote serikalili, kwann ufanye maisha yakawa magumu wakati kuna alternative????
 
Mtu anao haki ya kusoma chuo chochote akipendacho ili mradi atimize masharti yaliowekwa pia hadi uamue kusoma hicho umeamua mwenyewe ujashurutishwa.
 
Mulogonized mental thinking capacity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…