SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
Changanua zaidi wakuelewe! Hiyo 500 ni makadirio ya wanafunzi wangapi? Kama ni mia 5 kwa siku ina maana ni sh.15,000/= kwa mwezi. Kwa wanafunzi wanaotegemea loan tu hiyo ni pesa ya mlo wa siku 3 hadi nne. Vipi kuhusu miezi ambayo haipo kwenye budget yao, wataweza mudu changia hizo 15?

Hii itasaidia nini??