Elections 2010 Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 48 kwa serikali

Elections 2010 Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 48 kwa serikali

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Umoja wa wanafunzi wa elimu ya juu(TAHLSO) watoa masaa 48 kwa serikali kutoa tamko kuhusu wao kupiga kura katika maeneo ya vyuoni walikojiandikisha.. La sivyo watafanya maandamano ya amani na kufungua kesi mahakama kuu, kupinga na kuzuia uchaguzi wa 31October 2010
 
Back
Top Bottom