tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 280 Oct 28, 2012 #1 Serikali imetoa Waraka wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2012 unaozuia wanafunzi wa DRS la VII, Form IV, VI na Diploma mwaka wa II kutofukuzwa shule/chuo kwani kufanya hivyo kunasababisha usumbufu kwa wanafunzi na wazazi. Soma Hapa: Marekebisho Kufukuzwa Wanafunzi Waraka wa Elimu Na. 4 wa Mwaka 2012
Serikali imetoa Waraka wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2012 unaozuia wanafunzi wa DRS la VII, Form IV, VI na Diploma mwaka wa II kutofukuzwa shule/chuo kwani kufanya hivyo kunasababisha usumbufu kwa wanafunzi na wazazi. Soma Hapa: Marekebisho Kufukuzwa Wanafunzi Waraka wa Elimu Na. 4 wa Mwaka 2012