Ndiyo zinaukweli ila nikwabaazi ya shule , waalimu wakuu wameamua kufanya ivo ili kuwafanya wanafunz wajiandae mapema kwan wanaofia JOIN INSTRUCTIONS zitachelewa kuwafikia wanafunzi wao , lakin sio shule zote zitafunguliwa tarehe 29, zingine tarehe 1 mwez wa nane mfano VUDOI, zingine tarehe 27 mfano mosh techinical hivyo inategea na uamuzi wa uongoz wa shule lini wafungue shule kwa form 5, na waalim wengine wanakupigia sim ili uwatumie e-mail address kusud wakutumie join instruction kwa njia ya kimtandao zaid mfano BIHAWANA YA DODOMA ni hayo tu mkuu kwa iyo kama uyo ameambia iyo tarehe bas ni kwel