Wanafunzi wa Kenya walioko China kutumiwa hela za matumizi na serikali

hata wakiomba pia sidhani kama ombi lao litatiliwa maanani maana hamuna uwezo huo.

Halafu ufisadi wa Kitanzania hutajwa kwenye trillions, hawa na nchi yao maskini sijui kwanini hawana huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…