kwani wakijengewa msikiti/wakijenga msikiti karibu na shule ni kosa? mbona shule znyingi za serikali zilizokuwa za dini zina misikiti ndani au karibu na shule? i dont see any problems here for them to have labda kama kuna behind the window reasons lakini nina uhakika headmaster hawezi kufukuza wanafunzi kisa wameomba kujengewa nyumba ya ibada kutakuwa na reason nyingine ambayo hawa wanafunzi watakuwa wamefanya
Mie nnalo:basi na kanisa livunjwe paweko usawa!
hela wazitoe wapi?hilo ni jukumu la serikali inatakiwa ibalance!kwavile lipo kanisa na msikiti lazima uwepo.kila mmoja awe na uhuru wa kuabudu.....!
Mtasema sana lakini ukweli utabaki palepale kuwa "HATUTAKI MFUMO KRISTO"
Anajidai kama vile haijui MoU.
Tuwe wakweli FF. Kanisa lililopo hapo lilikuwepo hata kabla ya MoU kusainiwa.
Mtasema sana lakini ukweli utabaki palepale kuwa "HATUTAKI MFUMO KRISTO"
hela wazitoe wapi?hilo ni jukumu la serikali inatakiwa ibalance!kwavile lipo kanisa na msikiti lazima uwepo.kila mmoja awe na uhuru wa kuabudu.....!
Hapo inabidi yale maspika yapangiwe muda wa kupiga kelele ama sivyo concentration itakuwa zero...! Ila hata wakipangiwa muda wa kupiga kelele watalalamika wanaonewa!
Kama hamtakazana kusoma elimu dunia msahau kabisa, mfume kristo utabaki milele
hauwezi kuutoa huu mfumo kwa kupoteza muda kuandamana.
wakristo karibu wanajaza nchi kwa kujenga vyuo vikuu na taasisi nyingine nyeti..
Naungana na mtoa mada hapo juu kuwa adui yenu hamjamjua bado... Maana wewe kwako adui wa muislamu ni MoU, na kuna mmoja humu kasema kanisa la ndanda livunjwe, kwa hiyo kwake kanisa likivunjwa basi adui atakuwa kafa. Nina uhakika wakifanyiwa interview waislamu 20 katika kutafuta jibu la nani adui wa uislamu, majibu utayashangaa
Hapo inabidi yale maspika yapangiwe muda wa kupiga kelele ama sivyo concentration itakuwa zero...! Ila hata wakipangiwa muda wa kupiga kelele watalalamika wanaonewa!
Kwani serikali ilijenga kanisa hadi itakiwe kubalance? Sababu dhaifu kabisa! Wakristo wamejenga kanisa wenyewe, waislamu pia wajenge! Hiyo ndio balance