Wanafunzi wa kiislam na Haki ya Kuabudu


mi wananipa hasira ajabu. Eti wajengewe msikiti, hawa watu washari kweli mungu angewapa sayari yao, aaaah
 

usipoteze muda wako hata ukiwambia hawaelewi wala hawaoni.
 
unakosea, ili kubalance, shule irudishwe kwa wenye kanisa lao. Thats balance. Kama waislam wakijengewa msikiti, je walutheri? Je wapentekoste?

mmmh ninliy hutabarikiwa kamwe kwa kupenda dezo dezo fanya kazi jenga msikiti wako kwani kanisa lilijengwa na serikali ??!..., IRUDISHE AKILI YAKO KAMA BADO IKO LIKIZO mwez mrch huu.
 
Tatizo la vijana wa siku hizi ni kutojua sababu iliyowapeleka shule. Hawajui kuwa wamekwenda kule kusoma. Pili udiniunaingia kwa kasi nchini inabidi hali hii idhibitiwe.
 
Acheni uzusho hao wanafunzi hawajadai msikiti nyie maka*************fir
Hulka zenu mi kubadili mada
Mnajidai mmesoma elimu imewasaidia nn bado dhulma kila idara. Mmesoma kufisadi mchii hio imani gani za kilokold unakula rushwa kwa kwenda mbele

Mm elimu yangu darasa la saba lakini nategemewa na. Wasio waisilamu zaidi ya 200 hii nchi mnataka kuingiza shimoni
Acheni dharau mnajiona mpo juu sana
 
Tatizo la vijana wa siku hizi ni kutojua sababu iliyowapeleka shule. Hawajui kuwa wamekwenda kule kusoma. Pili udiniunaingia kwa kasi nchini inabidi hali hii idhibitiwe.

sio wao ni sumu wanazopewa na sheikh Ilunga na mtu kama mzee said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…