Wanafunzi wa kike wanapomtongoza mwalimu wa kiume

Wanafunzi wa kike wanapomtongoza mwalimu wa kiume

mpiga era

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,078
Reaction score
2,266
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!
7f14903fcf3d5484affd149c6daab8f9.jpg
 
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!
7f14903fcf3d5484affd149c6daab8f9.jpg
Hapo juu namaanisha wanafunzi wa" kike'" na sio wa "like"
 
kasome uje tukae huku o level ukutane na pini ambazo ukizijaribu unaweza toa talaka kwa my wife wako.
 
Nakupenda Mwalimu Cosmass Hadija wa la nne A.[emoji173] [emoji173] [emoji173]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!
7f14903fcf3d5484affd149c6daab8f9.jpg
naskia hainaga uanafunzi wanakulaga.... !!

ila kutongozwa na kitoto cha darasa la 4 it means kimekuona na wewe ni sawa na yeye tu, kiakili na kimtazamo.... ni dharau kubwa sana.
 
huyo akimaliza la saba huko anakokaa hakuna wanaume
 
Baada ya madai ya malimbikizo yao kumbe kuna na haya?
 
Ha ha ha ha ha duuuuuuh! uzuri walimu wanawafundisha kuandika acha wawaonyeshe maujuzi..
wanasema mapenzi hayachagui lkn kumbuka jela miaka 30🙁🙁
 
Mimi nina taaluma ya ualimu na kwa uzoefu wangu wa kazi hiyo nina hakika hii

UKIONA MWANAFUNZI AMEKUTONGOZA BASI FAHAMU KUWA WEWE NI MWALIMU AMBAYE UPO CHINI KABISA KATIKA MISINGI YA TAALUMA YAKO
Hiyo ni kiashishiria kwamba wewe si mwalimu unayejua kazi yako vema

Nakumbuka ilikuwa mwaka fulani nilifundisha shule ya msingi moja jijini Dar es Salaam
enzi hizo bado kijana sana watoto wa kike walionesha kupenda sana uwepo wangu karibu yao lakini daima nilisimamia misingi ya kazi yangu na nilikuwa ninaadhibu pale wanafunzi wanapokosea bila kujali wana hisia gani juu yangu hahaha baada ya muda wa majuma mawili wanafunzi walikuwa washaelewa huyu jamaa yupo kikazi zaidi so kilichofuatia hapo ilikuwa ni kunipenda katika suala la kujifunza (kimasomo) tu not otherwise na km ningelegea tu nikawa mwepesi kuzipa nafasi nyendo zao zilizoonesha walikuwa wanaelekea kwenye mazoea mabovu lazima wangeniambia wazi wanataka nini kwangu

Hivyo mwl jifunze kuwa makini wakati wote ukiheshimu misingi ya kazi yako wala hutoona ujingq huo wa kutongozwa na wanafunzi
Na haya huwakuta walimu walioendekeza usela mbele kuliko taaluma yao
 
Back
Top Bottom