Mtove unaguna nn?Mmmm
naskia hainaga uanafunzi wanakulaga.... !!Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!
kalagabaho!!Mwalimu ambaye yuko serious na kazi yake hawezi kutongozwa na MWANAFUNZI WAKE. M
Kama unatongozwa jichunguzeeee
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!