kesi za wasabato kufukuzwa vyuoni kwa sababu hiyo mbona ni common hapa nchini? SUA walifukuzwa sana hadi wakanyooka. Ila kinachokera ni kwamba, wanagomea kufanya mitihani Jumamosi lakini wanangonoka sana siku hiyo. Nilishuhudia sana chuoni hii tabia, wakitoka kanisani washindwa vyumbani na mademu wao kutwa wanangonoka LIVE lakini hawataki kuhudhuria lecture au kufanya papers. Ikiwa hivyo, mitihani isifanyike Jumapili na Ijumaa pia.
hakuna official study imefanyika kujua idadi ya watz kwa kufuata itikadi
Hawa jamaa ni wa ajabu sana nimeishi nao nimesoma nao nawajua vilivyo,ni haki yao kufukuzwa kwani hawakuviona vyuo vya kisabato hata wakaenda MORAVIANI??Yaani ni kichekesho na hii ni akili ya kawaida tu unaenda kwa mtu anaekula kambale halafu unategemea akuandalie dagaa??Hawa ni watu wa kukariri maandiko na hawana ubavu wa kuyaishi,wanajua sana kujieleza lakini ukiishi nao utajua hawa hawana lolote jipya,nenda kwenye makongamano yao ya vijana ndio utaona vituko uzinzi unaofanyika huko sodoma na gomola ni afadhari.Hellen White amewadanganya mambo mengi sana ebu jiulize sabato ile iliyoadhimishwa na MUISRAEL ndio hii ya hawa hawa jamaa zetu tunaoishi nao kitaa??????waambieni waache utani na ubishi wa maandiko blabla nyingi uonekane unajua kumbe hamna lolote wengi wamechangia hapa KRISTO YESU NDIE BWANA WA SABATO,huwezi kufanya mtihani siku ya sabato chagua chuo cha kisabato vinginevyo wewe ni mjinga tu na elimu yako ya kidunia na kidini haijakukomboa.Dini ya sabato ina mambo mengi ya ajabu. Mbona Waislam wanafanya kazi siku ya ijumaa?
Hawa jamaa ni wa ajabu sana nimeishi nao nimesoma nao nawajua vilivyo,ni haki yao kufukuzwa kwani hawakuviona vyuo vya kisabato hata wakaenda MORAVIANI??
hiyo ni study ya Wakatoliki si ya Watz, halafu elewa maana ya official study kama hujui kaa kimya wapishe GT sio alimradi uonekane unachangiaacha kupotosha....
wakatoliki kutokana na sensa yetu tuliyofanya wenyewe bila Khassim za serikali ituhesabu tupo jumla ya waumini milioni 12 Tanzania nzma.
sabato ni siku ya kwanza ya juma, na wala sio jumamosi, someni maandiko
Wanayepaswa kumfuata alisema, "..ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu, mpeni Mungu"
Hawa jamaa wanalazimisha ya Mungu wampe Kaisari na vice versa!!
Kimsingi binafsi naona ni mwanafunzi ambaye hajajiandaa tu ndio anayeweza kugomea mtihani kwa sababu ya aina hii!
Nguvu mtu anayotumia kujiandaa na mtihani ni kubwa sana kiasi kwamba sababu za kipuuzi hazina nafasi kuahirisha mtihani!
Wewe umeweza kubainisha unafiki unaoongewa ndani ya biblia, una akili sana; mtu anakanusha dhambi moja kwa nguvu zote hadharani wakati gizani anakumbatia zingine kumi kubwa kuliko hiyo moja anayoitii kwa unafiki. Ni makaburi yaliyopakwa chokaa nje yanang'aa lakini ndani yamejaza uchafu mtupuKuna jamaa yangu ni msabato na anaishi na demu wake geto moja.linapofika swala la kufanya mitihani au presentation jumamosi alikua anagombana sana na ma doctor.siku moja nikamwambia mbona unaishi na mwanamke na mnazini huoni hiyo ni dhambi au dhambi ni kufanya kazi jumamosi?amenichukia mpaka leo.wakati mwingine haya mambo ya imani tunajichanganya sana.
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?