Wanafunzi wa KIU Dar es Salam Wavunja majengo ya chuo na kutawanywa kwa Polisi

Wanafunzi wa KIU Dar es Salam Wavunja majengo ya chuo na kutawanywa kwa Polisi

LUKAZA

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
140
Reaction score
70
Wanafuzi wa kampala international university tawin la dar salam waandamana hadi ofisi ya adiminisration na kuvunja baadhi ya milango ya vyuoni hapo baada ya kuhaidiwa kero zao kutatuliwa leo na uongozi wa chuo kuingia kapuni na kuto kwenda kuwajibu wanafuzi hao walichukuwa hasira hizo bada kuona kuwa wamedhalauliwa na uongozi wa chuo ghasia izo zimezimwa na askari wa kutuliza ghasia kwa kupiga mabomu na inasemekama katika wanafunzi hao kukimbia wengine wamemeumia

kero zao walizoziwasilisha ni
ratiba ya masomo haiyeleweki
kusomeshwa kwa mfumo wa modula
ada kutozwa kwa dola na sasa kwa vile dola imepanda kwa hiyo wanafuzi waifate dola

ukweli chuo hicho kimejaa magumashi ni wababaishaji na wapo zaidi kutafuta pesa na si kutowa elimu inayohitajika na watanzani na hali hiyo selekali wanaijuwa lakini bado wanaendelea kufumbia macho kwa vile pana michilizi yao wakubwa fulani
 
wanafuzi wa kampala international university tawin la dar salam waandamana hadi ofisi ya adiminisration na kuvunja baadhi ya milango ya vyuoni hapo baada ya kuhaidiwa kero zao kutatuliwa leo na uongozi wa chuo kuingia kapuni na kuto kwenda kuwajibu wanafuzi hao walichukuwa hasira hizo bada kuona kuwa wamedhalauliwa na uongozi wa chuo ghasia izo zimezimwa na askari wa kutuliza ghasia kwa kupiga mabomu na inasemekama katika wanafunzi hao kukimbia wengine wamemeumia

kero zao walizoziwasilisha ni
ratiba ya masomo haiyeleweki
kusomeshwa kwa mfumo wa modula
ada kutozwa kwa dola na sasa kwa vile dola imepanda kwa hiyo wanafuzi waifate dola

ukweli chuo hicho kimejaa magumashi ni wababaishaji na wapo zaidi kutafuta pesa na si kutowa elimu inayohitajika na watanzani na hali hiyo selekali wanaijuwa lakini bado wanaendelea kufumbia macho kwa vile pana michilizi yao wakubwa fulani
ntaruuddi bidae
 
Poleni serikali italifanyia kazi na tutaunda tume.
 
Yaan mwalim wako wakiswahili ndiyo alikufundisha kuandika hivi?,mabom yatapigwa sana tz,watu washachoka na mambo yanayoendelea ktk nchi hii
 
Mke wa mkapa ana mkono wake kwenye chuo hicho!
 
ndio hasara ya kukimbilia vyuo vya kigeni nchini mwetu wkt vyuo vya wazawa vipo vingi tu
tumain,st sugustine,kisanji sijui lushoto,ushirika vipo kibao poleni walengwa
 
Wewe ni mwenzetu kweli?!, hujui kuwa siku hizi chuo unapangiwa na TCU?!, hujui kuwa hata baadhi ya hivyo ulivyovitaja ni foreign unv?!, toa maoni ya ku-solve prblm na si kuwalaumu watoto wetu.
ndio hasara ya kukimbilia vyuo vya kigeni nchini mwetu wkt vyuo vya wazawa vipo vingi tu
tumain,st sugustine,kisanji sijui lushoto,ushirika vipo kibao poleni walengwa
 
Tcu wanayajua madudu ya KIU bado wapo kimya.
 
Hivi kwan mgogoro wao na tcu uliisha,na kwan KIU ilishaingizwa kwenye central admission system?
 
Back
Top Bottom