Wanafunzi wa kwenda form five wanachaguliwa lini?

Wanafunzi wa kwenda form five wanachaguliwa lini?

Joined
Feb 28, 2007
Posts
67
Reaction score
136
WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini.
Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
 
Tulia wewe, bado. Tutakuwekeeni kwenye magazeti. Kwa wale wa serikali.com. Sawasawa??
 
Waambie wawe wapole tu matatangaziwa manake bado! Mwezi ujao frm zitafunguliwa so any tym kuanzia katikati ya huu mwezi!
 
Back
Top Bottom