A ALLY KILUNGUZO SALUM Member Joined Feb 28, 2007 Posts 67 Reaction score 136 Feb 14, 2011 #1 WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini. Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini. Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
P Pokola JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 716 Reaction score 177 Feb 14, 2011 #2 Tulia wewe, bado. Tutakuwekeeni kwenye magazeti. Kwa wale wa serikali.com. Sawasawa??
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Feb 14, 2011 #3 Waambie wawe wapole tu matatangaziwa manake bado! Mwezi ujao frm zitafunguliwa so any tym kuanzia katikati ya huu mwezi!
Waambie wawe wapole tu matatangaziwa manake bado! Mwezi ujao frm zitafunguliwa so any tym kuanzia katikati ya huu mwezi!