Wanafunzi wa Mwaka 3 Chuo cha Mipango wakubali Wote kufanya PRESENTATION

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Hatimae Wanafunzi wa mwaka 3 chuo cha mipango Jana walijitokeza kwa Wingi kwnye Presnttn ambayo Awali Waliogomea.

Licha mgomo wao kutowasaidia chochote ili walazimu Kuandika barua ya Kujieleza ndipo kupewa Nafasi hiyo.

Presenttn bado inaulinzi wa police.

Vimigomo uchwara,washukuru police la sivyo vurugu zao zingewacost!

Tunashukuru kwa hii taarifa, but i think more than 99% ya JF members hii habar haiwahusu, so it isn't news in here!!

Hahahahha yaani presentation mayo watu wanaigomea? Mwaka wa tatu? Watt wanapiga presentation toka mwaka wa kwanza ,,ok kwa mini waligomea?

Tunashukuru kwa hii taarifa, but i think more than 99% ya JF members hii habar haiwahusu, so it isn't news in here!!
Hii ni puma ya mwaka!!!! Unamaanisha 99%? sikubaliani na wewe hapa % 99 inatuhusu wore sisi wan a JF

Hao majamaa ni vilaza kweli, yaani unagomea kufanya presentation? So weledi wao kisomi uko wapi? Ama kiingereza cha kuunga unga wanahofia kurudia kutamka tamka the the the mpaka mwisho? Ama kweli staajabu ya Musa...

chuo chenyewe mipango!!

chuo chenyewe mipango!!

Kweli mkuu. Form 4 wenyewe wa shule za kata hufanya presentation siku za mahafali kwa mgeni rasmi wakiwa kule maabara. hawa vilaza mipango mapoyoyo haswa

Elimu ya Tanzania imeingiliwa. Nategemea ipo siku wanafunzi watagomea mtihani.

Mwisho watagomea assignments

Elimu ya Tanzania imeingiliwa. Nategemea ipo siku wanafunzi watagomea mtihani.

Ndio tunakoelekea mkuu. Nadhani kuna kipindi muhimbili weshawahi kugomea mfumo wa mitihani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…