wanafunzi wa SAUT MWANZA wakodi behewa la abiria kwenda bodi ya mkopo dar kudai pesa zao

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
baada ya kukubwa na sitofahamu ndani ya miezi mi5 wanafunzi wapatao 215 juu ya pesa zao za kujikimu kutokufika, na bodi kuishia wapa ahadi za kuwambia tunawapa na kuwapelekea allocation zao, na bodi kuishia toa ahadi hewa, sasa wanafunzi hawa wamebook behewa zima la abiria leli ya kati linalobeba watu 80 na kwenda dar ofisi za bodi ya mkopo safari yao ni mwisho wa week hii, sisi kama wadau wa elimu, hatupendi haya yatokee tunaomba watu wa bodi wapeni pesa hawa vijana yanini wafike uko, ili hali mmekubali wanasifa na wanaitaji patiwa pesa zao, kipi kinachelewesha wasipatiwe pesa zao?
 
Nawasubiri kaka support yangu mnayo, si ndio wanachotaka hawa watu,
 

serikali hii ya JK mambo hayaendi bila kusikia kitu kinaitwa MGOMO/MAANDAMANO.
 
Angalieni msije mkakwamishwa manyoni kwa week mbili maana treni yenyewe bado ipo Dodoma imekwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…