M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wadau salam mbele shule hizi za St. Mary's zimekuwa kama mtambo wa kuzalisha vijana wanaopenda mapenzi ya jinsia moja (Mashoga).
Pengine ni kutokana na namna lifestyle ya hapo shuleni kuwa kizungu mno. Kuna uvumi mtaani kwamba kuna wakati Fulani aliyekuwa Dean of Students ambae sasa ni MC & Mtangazaji Maarufu redio CLOUDS FM alikuwa mpaka anatongoza wanafunzi wa kiume ili kuwa nao mahusiano.
Tafadhali Wizara ya Elimu hususani WAKAGUZI WA SHULE fuatiliaeni kinachojiri pale St. Mary's kama ni kweli, vinginevyo tunazalisha jeshi la Mashoga TZ kutoka shule hii inayofungua matawi kila sehemu nchini na wakati mwingine kwa Kubadilisha tu Majina Mara KENTON, EAST AFRICA INT'L SCHOOLs etc.