Kama kitu hicho ni cha kweli, naomba serikali ichukue hatua haraka sana, tusijekujikuta nchi ina wapigania haki za sodoma na gomora kama wamagaribi.
LAKINI KAMA HAKUNA UKWELI WOWOTE, naomba tuangalie isijekuwa ni vita vya kibiashara vya wamiliki wa shule hapa, mkachafulia watu majina na kuharibu biashara za watu. wanaochangia uzi huu naomba wawe na uhakika na wanachosema.
Mungu awe shahidi wako unapoandika, kuchafuliwa jina au biashara ni kitu kibaya sana.