K Kiboko Yenu JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 311 Reaction score 66 Mar 16, 2012 #1 leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia walipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi kuhusu umuhimu wa mazingira kwa habari zaidi bofya hapa MICHUZI: WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO
leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia walipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi kuhusu umuhimu wa mazingira kwa habari zaidi bofya hapa MICHUZI: WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO
CHIEF MP JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,559 Reaction score 679 Mar 16, 2012 #2 Hongera vjana ndo wajib ktk jamii yenu kama wasomi!