Wanafunzi wa udsm mpooo?

Wanafunzi wa udsm mpooo?

Msuli mwanzo mwishi hakuna kulala

scopio kunywa shule kaka mambo ni magumu,lkn hapa muccobs 2mefika kwenye orientation 2 nakutishiwa ugumu wa msuli kama baaf lzm ukae!
 
kwani lazima iwe udsm,acha kukariri basi..msuli popote wewe
 
na watoto wa shule nao wapo... safi sana wasomi wetu tunawategemea sana mje kuikomboa nchi yenu ila mpunguze mikasi
 
Kwa njia hii post yako ilivyo, ni lazima utakuwa mental impaired. Jiandae kwa supp na disco.
 
me memaliza UDSm tena bila sup ..kitbu kawaida 2..ioategemea we unajpangaje...ukzma moto alwys shule itakua ngumu sana..! Jus read evryday..shule takua rahc sana...
 
Back
Top Bottom