kama vilaza wanakuwa enrolled UDSM, Je vyuo vingine watakuwa wana sifa gani? kwani waliofaulu vizuri wote sekondari wako UDSM na wale walioshindwa ku-compete UDSM ndiyo wako huko kwingine hapa TZ.
Kama tulioko udsm ni vilaza,bac vyuo vingne kuna vilaza square..mana vipanga wote tunaopga fresh form 6 tuko udsm, na wachache wako muhimbili..huko kwingne ni makapi tu.
Una uhakika wanaofaulu wote wanaenda UDSM au claim!? Fanya research kidogo sasa hivi ni nani anaye enroll wanafunzi kwenda vyuo.
Ni TCU lkn si wanaangalia options zako?
Mkuu ka umenizungumzia mimi sijataja chuo nilichosoma sehemu yyt kwny post zng, na hata wakitambua haitanisaidia chochote ila Jaribu kusoma n kuelewa fact nilizotoa.Songíto;3104392 said:kijana naona unatafuta watu watambue chuo chako kwa nguvu!! huwezi kubadili hilo hasa kwa wakati huu kabda baadae utaweza!! ila kwa sasa top cream karibu yote ya ufaulu kidato cha sita wanaenda UDSM wachache saana kati yao ndo wanaelekea pengine na wale wenzangu na miye wengi ndo wanamwagika vyuo vingine!! so uwe makini unapozungumzia kilaza una maana gani hasa.... na hasa. ukilaza na kugoma vinaendaje endaje? kwa hiyo unatuambia kuwa walimu, madaktari na wengine wanaogoma vilaza?
Jiulize swali moja rahisi tu, kama udsm wame-enroll vilaza je vyuo vingine watakuwa wame=enroll watu gani? ukiona mtu kipanga halafu hachagui first choice udsm course ambayo udsm ipoi ujue anafikiri kwa kutumia "Masaburi" huyoKwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki zao!!lakini hakuna!!hii itakuwa enrollment ya VILAZA i.e SENETOR na wengineo,hawa ndio haswa wanasababisha chuo kisitawalike.
As-salaam alykum VILAZA WOTE WA UDSM.
mtoa mada umechokoza vilaza wa uddhm unaona wanavyokushambulia, uddhm vilaza kwl hawasom changes in time, bado wanaishi enzi za mwalimu
wewe ndiyo hata uelewi unachosema. Hizo chnges with time unazoongelea kwasasa tz bado hazijafikia kiwango unachofikiria. Wewe nawe unataka tu kuvutia kwako huko ulikopitia ambapo waalimu karibia wote wamepitia pacific university (un-accredited university). Siyo mbaya wewe tetea kile ulichopitia lkn ukweli hata moyo wako unaujua?
wewe ndiyo hata uelewi unachosema. Hizo chnges with time unazoongelea kwasasa tz bado hazijafikia kiwango unachofikiria. Wewe nawe unataka tu kuvutia kwako huko ulikopitia ambapo waalimu karibia wote wamepitia pacific university (un-accredited university). Siyo mbaya wewe tetea kile ulichopitia lkn ukweli hata moyo wako unaujua?
Ulizia last qualification walizokuwa wanaingia nazo watu wa BAF Mzumbe n B.com ya UDSM kwa kipindi kile vyuo vina enroll vyenyewe..Hoja yenu ingekuwa na mashiko ka UD wangekuwa wanatoa kozi zote, narudia tena ka nimefaulu vizuri n kozi ninayoitaka ipo chuo flani ni lazim niend UD?! Mf. UDOM wanatoa dgr ya Softwares Eng n sidhani ka kn chuo kingn Tz ka kinatoa, n nimeipenda nitafanyaje?!