KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 157
- 26
Huyo Mr.Mzumbe kiswahili chenyewe kinamshinda!anatudhihirishia ukilaza wake!hakuna haja ya kubishana nae,ila ukweli anaujua na ukweli wenyewe ni kwamba Udsm inachukua na inatoa the cream of Nation.
kama vilaza wanakuwa enrolled UDSM, Je vyuo vingine watakuwa wana sifa gani? kwani waliofaulu vizuri wote sekondari wako UDSM na wale walioshindwa ku-compete UDSM ndiyo wako huko kwingine hapa TZ.
Kama tulioko udsm ni vilaza,bac vyuo vingne kuna vilaza square..mana vipanga wote tunaopga fresh form 6 tuko udsm, na wachache wako muhimbili..huko kwingne ni makapi tu.
University of Dar es Salaam haina walimu waliotoka vyuo vingine vya ndani, lakini vyuo vyote vya ndani vina walimu waliotoka UDSM. Mia, au Nalog off.
Mnaboa na haya mabishano yasio na msingi ... Wengine tuko mbele huku tumeona mavyuo ya maana yenye labs zilizokwenda shule kuliko UDSM ambayo kama ukiibeba na kuileta huku haina tofauti na high school. .. mi mdogo wangu wa kike kipindi kile watu wanafanya mtihani ili kuingia chuo alipata UDSM na UDOM... Alipiga chini UDSM na kukimbilia UDOM ... So ni mapenzi ya mtu asome wapi
Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
Kwa mfano nina div 1 ya 3 nataka nisome masomo ya Agriculture unadhani nitaomba UDSM!?
Una uhakika wanaofaulu wote wanaenda UDSM au claim!? Fanya research kidogo sasa hivi ni nani anaye enroll wanafunzi kwenda vyuo.
eti una div 1 ya 3 unasoma kilimo we jamaa unatatizo sio bure..ebu fanya utafuti hapo sua utagundua kuna jamaa wenye ushindi mwembambaaaaa!
Mwenye 1 ya 3 hata siku moja hawezi kufikiria kusoma Agriculture hasa kwenye ufisadi huu tulionao!!!!