Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

Mzumbe nani anaijua? ud ina kila kitu. na pale ndo vichwa walipo.
 
 
 
 
[Biera;]
may b uko fb aende dada yako na ukoo wenu,na ndo maana cshangai unajiita NGUCHIRO!

Its just a name,dah kama product zenyewe ndo kama wewe,pathetic to see, poteza nguvu zako mi mda wa kujadili na kiraza cna,face it you are a loser,huna jipya mkuu kaa kimya ulinde P yako,hii ni jamii ya watu wastaarab si ukumbi wa mipasho,over n out
 

yah mi ni product ya state university..aka Udsm..kiraza wa mzumbe kakojoe kalale.
 
 
Je , tujiulize , migomo imesaidia so far ?
hili nyongeza ya boom na hata kupanuliwa kwa wigo wa mikopo ,
si ni kazi ya vijana wa UDSM ,
Hao waliofukuzwa walikua wanawapigania watz wengine kama wa Mz , Udom nk
Mgomo wao ulisababisha TCU ku release majina 1400 Nov 2011 ,kati ya hao UDSM (400)
, Mz ( 6) nk
Bado walitaka kuendelea kuwapigania wengine waliokosa mikopo kutokana na sababu zisizo na mashiko,
na hili ndo chimbuko la migomo yote ya UDSM sem yote hii ,wanafaa kupongezwa na sio kushutumiwa......
Lets be educated na sio trained citizen
 
Nyie muda wa kubishana huu mngejielekeza katika kuandika article ya kupublish katika peer review journal za taaluma zenu mngekuwa wa maana zaidi. Aibu hadi mnaingia level ya master hamuwezi hata kuandika abstract afu hapa mwabishania chuo kipi bora,
 

before putting your fingers in motion put your brain in gear!!
 
Naona mmebishana kuhusu vyuo mi nafanya muafaka hiviii,Chuo kikuu bora ni Maarifa uliyopata na unavyoweza kuaaply katika maisha ujikwamue kiuchumi,kijamii,kisiasa,kiutamaduni na uweze kutatua matatizo yako.mtaala ni mmoja,aliyesoma popote ambapo pamesajiliwa na serikali husika ni halali na GPA Yako itazungumza na ndo chuo kikuu bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…