Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika tafiti yangu ambayo nimefanya hivi karibuni nimegundua kuwa asilimia kubwa ya watu wanaochukia UDSM ni vilaza ambao kutokana na kuchemka kwao walikosa nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na UDSM baada ya kujaribu zaidi ya mara moja, hivyo wameweka chuki kali dhidi ya wote waliosoma UDSM na chuo hicho. Napenda kusema wazi kuwa mimi ni mhitimu wa SAUT!Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
Ndugu zangu wewe fuatilia hasa watu wanaosoma masters za biashara (MBA),arts,sheria na hasa hawa madingi wanaofanya kazi kwenye taasisi za serikali na wanaongoza kufanyiwa thesis zao mtaani. Na wengi wanalipa kati ya sh laki nne mpaka sita.Nadhani wanafanya hivyo kwa kuwa wanataka kuwa na sifa za kupata masters ili amuonyeshe mwajilia ambaye ni serikali.Naamini hata baadhi ya wanafunzi wa aina hiyo hasa kwa vyuo vya DSM wanafanya hivyo.Fanyeni utafiti wa kitu ninachokisema msiibishe tu.
Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
Wewe unaonekana mzushi tu.Kama wanafunzi wa UDSM wanaongoza mbona hukuonesha wanaowafuatia hadi wa mwisho? Nadhani umepata elimu yako ktk kile chuo kikuu cha wakata kiu pale mji kasoro bahari!
Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
Mimi nimesoma Engineering UDSM ninaweza kukuthibitishia kwa 100% hakuna uwezekano wa mwanafunzi wa pale kuandikiwa thesis..Utaratibu wa kudefend proposal mara mbili na final mara mbili hauwezi kukuacha salama kama unafanyiwa na mtu..Nakuthibitishia Tanzania hakuna chuo makini kama UDSM labda kwa baadhi ya skuli..Usijipe moyo kwavile umesoma st.** na munaridhishana huko mtaani kwamba sote tunapata elimu ya kuunga unga..ukitaka kuthibitisha pitisha mguu wako pale kama mwaka wapili utavuka..Kubali ukweli UDSM ni nomaaa
Ooooh!, UDSM i love youu UDSM...Hata nikifa leo Cv yangu ipo swaafi coz nimepiga Udsm...chezea Nkrumah hall ipo kwenye jero...katafute Chimwaga kama utaiona..mkuu wa chuo wa kwanza Nyerere...pia yupo kwenye noti....wakata vipii