Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

YoungAge.org

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Imeandikwa sana kwenye vyombo vya habari kuwa kuna madenti wana desturi ya 'kujiuza' na hata baadhi ya vyuo vimetajwa tajwa kama vile IFM, SAUT, UDOM na hata Mabibo Hostel imehusishwa. Kisha nikasikia kuwa kuna sehemu kadhaa ndio sokoni, kama Sinza na club fulani mwanza. Nina ndugu yangu anasoma SAUT yeye kaniambia kinachoendelea ni mahusiano ya kawaida ya kimapenzi ndiyo yamekithiri na sio biashara ya uchangudoa. Mimi mwenyewe nimepitapita sehemu tajwa za burudani, nimejionea mabinti wa chuo wamependeza na wako kiburudani zaidi na sio kibiashara na wapenzi wao. Kwa nini kuwasingizia watoto wa watu biashara wasioifanya? Nimewacheki waje machangu wanaosimama barabarani hakuna wa college pale japo wanakijua sana kizungu.

Nawakilisha.


Mkichangia naombeni saaaaaaana msinitukane. Niko allergic na matusi wapendwa wangu wa JF.
 
Kama nakuona vile ukikagua vitambulisho vya machangu pale kona bar.
 
Kama nakuona vile ukikagua vitambulisho vya machangu pale kona bar.

Unajua ukimapproach changudoa yoyote, anapenda kujipandisha grade so anasingizia yuko chuo na wengine wanafoji hivyo vitambulisho ili kuvutia biashara yao lakini sio wanachuo bana!
 
hahaaa kazi ipo...duuuh mamb ya USTAWI dot com
 
wewe huwa unakagua vitambulisho eeeh kijana karibu MOSHI hapa MUCCOBS uone sasa ikifika usiku nenda maeneo yao ya kujirusha ndio utajua tena nenda na mwenyeji anaewajua hata baadhi,ni vigumu sana kujua wanachuo wote xo post yako naona ni kama ya kubuni vile,then usifikirie kila utakachoandika hata kama hakina uthibitisho utatukanwa no karibu sana JF kijana ila kuwa makini na tetea zako
 

Sikuelewi unaposema post yangu ni ya kubuni, kwani si hata wewe umebuni majibu haya? Nimefuatilia yanayoandikwa kuhusu wanafunzi na ndio maana nikabuni post hii, tatizo wapi mwalimu? Umesema ni vigumu sana kuwajua wanachuo, sasa hawa wanaosema wanachuo wanajiuza wanawajuaje?
 
Dodoma machangu ukiuliza shughuli yake anasema mwanachuo UDOM,
Muulize Course gani..... TEACHING
 
We unasema nini ? Acha kudanganya wananchi wa jf . Hamna madem wanatabia chafu kama WALIOPO vyuoNI . Mimi mwenyewe ni kiwa na kiu nashuka uhasibu arusha .
 
We unasema nini ? Acha kudanganya wananchi wa jf . Hamna madem wanatabia chafu kama WALIOPO vyuoNI . Mimi mwenyewe ni kiwa na kiu nashuka uhasibu arusha .

sasa hapo wao ndio wanajiuza au wewe ndio unajiuza?
 
Kijana naona umeamua kutuma post ambayo ipo kimtegomtego ili watu wakuthibitishie wanakopatikana machangu wa vyuoni ukanunue. Angalia sana usije ukawa addicted na professional changudoa's wasomi ukaja umbuka. Wale wapo na wataendelea kuwepo kutokana na mfumo wetu mbovu wa kutoa mikopo.
Wanafunzi baadhi wakike wanaingia kwenye mkondo huu si kwa kupenda, basi kutokana na ukata unaosababishwa na either kucheleweshewa pesa za mikopo au vi% vya mikopo.
Sema professional changuz kutoka vyuoni huwa hawajipangi barabarani kama hawa wengine wajane wengine. Wao huweka mitego yao sehemu zenye hadhi kidogo, kisha hununua soda au maji na kuinywa hata masaa 10 huku pozi fake zikiwa nyingi. Mwanaume mkware ukiingia unanunulia yeye bia stori zinaendelea, unamuuliza maswali kimitego then unagundua anatokea chuo gani na faculty ipi. Wengi wao wanafanya course laini laini za social science.....halafu wanakuwa ni warembo. Wengine wale mafundi mchundo (those doing Engineering courses ) huwa hawana mvuto kwa hiyo attention yao inakuwa kwenye masomo zaidi.
Angalia sana kuanzia ijumaa jinsi wanafunzi wa kike vyuoni wanavyojipamba kwenda kutumika kwenye night clubs mbalimbali. Mifano ipo mingi na hai: mabinti wa IFM, CBE, UDSM, vyuo vya uchochoroni etc
Anyway niishie hapa maana nina mengi ya ku-share ila sina muda! Mwisho kabisa jiulize tupo wangapi?
 

Niombe radhi kwa kunituhumu mnunuzi wa changudoa. Anyway post yako imenipa maswali kadhaa
  1. Unaposema kinachosababisha ni % ya mkopo, kwani changudoa wote wana dhiki ya pesa?
  2. Mwanadada kujua chuo fulani, faculty na hata course; huu ndio uthibitisho kuwa anasoma?
  3. Una hakika hakuna mainjinia warembo?
  4. Mabinti wa vyuo kwenda night club ndio kujiuza?

nitashukuru kama utapata muda wa ku-share zaidi. Swali lako la mwisho gumu kulijibu kwa sababu unaweza ukadhani uko peke yako kumbe mwenzi wako ana kijiji!
 
Si vibaya tukaelekezana namna outlook yao ili tuweze kutofautisha huko viwanjani, kwani kwa tusioenda viwanja kila mara kwa habari hii unaweza kutamani kuopoa kachangu kasomi ukajikuta unaishia kwa wenzetu wa manzese na buguruni!
 
we unasema nini ? Acha kudanganya wananchi wa jf . Hamna madem wanatabia chafu kama waliopo vyuoni . Mimi mwenyewe ni kiwa na kiu nashuka uhasibu arusha .


mavitu yao yakoje jamani hawa wasomi wetu nasikia wanajua ku do sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…