Wanafunzi wa Vyuo vikuu Kenya wafanya Mashindano ya Lugha na Utamaduni wa China

This is very good, Wachina wameonyesha ushindani mkubwa dhidi ya wazungu, na kuijua lugha yao ni njia moja ya kuchangamkia faida za mfumo mbadala wa dunia.
 
Duh!
 
Kwa madeni Kenya iliyokuwa nayo kwa Waxlchina, ni jambo jema wakianza kujifunza tamaduni za waliowakopa.

UDSM na UDOM pia wanasoma Chinese language and Culture since 2009
 
Hehehe mbona unashangaa, leo hii Wakenya wameajiriwa China wanawafundisha Kiswahili huko, Mchina amefikia kwenye kiwango cha kutopuuzwa, Marekani na Uropa wamejaribu kumpiga propaganda nyingi, ila kwa kila hila dhidi yake anazidi kuneemeka.
Leo hii Mchina amebuni mifumo mbadala katika kila nyanja za sayansi na teknolojia, juzi hata kwa ile sakata ya Huawei, ameonyesha kustahimili mapigo yote hayo. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwake, jinsi gani ya kujikwamua na kujitegemea maana Mchina amenyanyuka miaka ya hivi majuzi, hakuwa hivi kwnaza kuna kipindi alisambaratishwa na Mjapani akabaki magofu.
Amefungulia Wakenya soko lake la watu zaidi ya bilioni, ukija huku Kenya leo hii kila mkulima anawaza maparachichi, kijijini kwetu ndio habari yaani.
 
Nyang'aus kwa maringo ya kuzijua na kuongea lugha zifuatazo;
Kiingereza
Kiswahili
Kifaransa
Mandarin
German
Spanish
Lugha za Asili

A blessed Nation indeed na ndio maan Nyang'aus ndio peke yao hawako LDC in East and Central Africa.

Watu wa miwivu sisi wabongo tujivunie Kiswahiri katarist ya viwanda vya vyerehani na Koroshow.
 
imagine na hatuwaonei wivu,juu hakuna hata chenu kimoja hapo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndio maana hatumo kundi la LDC kama Danganyika and we don't care what you think about us, cheki vile tumebaki na Lamu Port nyie Bagamoyo mkataba ukawashinda kwa kupeleka uswahili wa undugu na Mchina mkaangukia pua.

Mchina akikiroga Mandarin, tunaweza kusikia na pia kuongea sio kungoja mkalimani ambaye hata hujui Kama anasema kweli ama ni pumba tu. Nyie ni Kama ile miafrika ya kitambo wa kusomewa bibilia na kuamini usichokielewa...bure kabisa. thanks
 
nyie mumeweka biasha kwenye SGR na china si uswahili wacha tuwaone mnapata faida gani[emoji23][emoji23][emoji23].

mpaka saa hii mnatamani mngeuliza kabla mlete vihere here.
 
Wenzetu hawana uwezo huo wa kuongea na kuelewa lugha zaidi ya tatu kwa ufasaha. Mjerumani aliwanyanyasa mababu zao kwa miaka mingi ila hata tusi moja tu la kijerumani hawajui. Kiingereza nacho kwao ni kama nyuklia science. Ila utawapata wengi wao na majina kama James Peter na Jane John, kwasababu wanadharau lugha zao za kiasili. Yaani wapo wapo tu, wanalishana limau, matunda ya sera yao mbovu ya ujamaa.
 
Haha we jamaa mswahili sana
 
Wenzenu??
 
The government of Kenya has been spending and borrowing money like a drunken sailor. Kenyans don’t have a choice now but to pander to their master in hope that something will be done to the debt.
 
Hahaha,
 
Back
Top Bottom