Sugar wa Ukweli JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 373 Reaction score 38 Dec 20, 2010 #41 tatizo hawa wenzagu hawataki kupiga msuli,wanataka kufaulu kwa mteremko,matokeo yake ni kujilengesha kwa malecturer ambao na wao wanatake advantage kwa weakness zetu,tupige msulia kina DADA,tutaheshimika!!
tatizo hawa wenzagu hawataki kupiga msuli,wanataka kufaulu kwa mteremko,matokeo yake ni kujilengesha kwa malecturer ambao na wao wanatake advantage kwa weakness zetu,tupige msulia kina DADA,tutaheshimika!!