Wanafunzi waandamana

Wanafunzi waandamana

Jamiix

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
940
Reaction score
666
WanaJF
Nimekutana na wanafunzi wengi sana wakiandamana na mabango yaliyoandikwa
' HATUMTAKI MWALIMU MKUU ' wakielekea kwa mkuu wa mkoa,wamesimamishwa na
Polisi na FFU
eneo la Sakina kwa Idd,Arusha

Wapo viongozi wakubwa wa polisi na defender zao wanawazuia,vijana wamechachamaa

Wanalalama ' TUNATAKA HAKI ZETU,TUMECHOKA KUNYANYASWA '

Shule ya sekondari KIMNYAK
Mwalimu mkuu Chamle
Nawakilisha
 
Mod ni PM nikutumie picha za tukio husika
 
Back
Top Bottom