Wanafunzi wafichwa vichakani huko Ilemela

Wanafunzi wafichwa vichakani huko Ilemela

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Nimesikia kupitia Clouds FM jioni hii ya kwamba, mkuu wa Wilaya ya Ilemela amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika shule ya sekondari Mt. Zion, iliyopo Wilayani humo, na kushuhudia wanafunzi zaidi ya 50 wakiwa wamefichwa vichakani ili kukwepa ukaguzi.
Wanafunzi hao wamefichwa vichakani chini ya uangalizi mkali baada ya ukaguzi uliofanyka wiki kadhaa na kubaini mbanano mkubwa, kisha kutoa mapendekezo kadhaa.
Afisa Afya wa Wilaya alibaini udhaifu mkubwa sana, ikiwemo kubanana sana kwa wanafunzi, uhifadhi mbovu wa chakula unaoruhusu wadudu na panya, viwanja vya michezo n.k.
Je kwa hali hii tutarajie ufaulu kuongezeka?
 
Back
Top Bottom