Wanafunzi wageni wa nchi za nje wengi wanasoma UDSM, kwani vyuo vingine havina hadhi ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?

Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.

Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list ni ndefu na sio watu wa kawaida, wengine ni marais wa nchi
 
nahisi kwamba,

labda wanaangalia kama vyuo wanavyosomea nje vina weledi kuliko vya nchi zao,

na UDSM ni chuo kikubwa afrika, kina tafiti nyingi, alumni wakubwa, na kipo kwenye jiji kubwa

kwa mujibu wa edurank;
edurank.org_uni_university-of-dar-es-salaam_(Samsung Galaxy S20 Ultra).png

edurank.org_uni_university-of-dar-es-salaam_alumni_(Samsung Galaxy S20 Ultra).png

nipo tayari kukosolewa
 
Jamaa kajitoa ufahamu,College ya humanities 2013 kulikuwa na wanafunzi si chini ya 20 kutoka Musumbiji
Nipe Alumni waliofika mbali kwenye mafanikio ya career, politics, ujasiriamali, n.k.

Ukute walikuwa wamakonde wakasingizia ni wasumbiji 😂😂
 
UDOM unajua ilianza mwaka gani niambie toka 2007 kwenda juu UDSM ina mtu gani wa maana unayemjua?
Ndani ya nchi almost nafasi nzito 70% wamewekwa UDSM.

nje ya mipaka UDSM imetoa marais wa Uganda, Sudan, Congo,

UDOM ni chuo kilianzishwa kisiasa, kimepitwa uzito na vyuo kadhaa
 
Ndani ya nchi almost nafasi nzito zote wamewekan UDSM.

UDSM imetoa marais wa Uganda, Sudan, Congo, wewe chuo chako kimetoa kina nani ?
Hivi shuleni ulifundishwa nini wewe?nimeuliza uwe specific utaje mtu/jina hizi hadithi zako nani anazitaka?

Taja huyo rais aliyehitimu UDSM kuanzia 2007:2024

UDOM sio chuo changu acha upumbafu na utoto ni mali ya umma
 
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?

Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.

Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list ni ndefu na sio watu wa kawaida, wengine ni marais wa nchi
UDSM unayoisema ilikuwa zamani wakati huo:
1. Hakuna chuo kingine chochote kikuu hapa Tanzania.
2. Afrika ikiwa na vyuo vikuu vichache vikubwa
3. Tanzania ikiwa ndio kitovu cha harakati za siasa za kupambana ya ukombozi wa kusini mwa Afrika.
 
nahisi kwamba,

labda wanaangalia kama vyuo wanavyosomea nje vina weledi kuliko vya nchi zao,

na UDSM ni chuo kikubwa afrika, kina tafiti nyingi, alumni wakubwa, na kipo kwenye jiji kubwa

kwa mujibu wa edurank;
View attachment 3236296

View attachment 3236297

nipo tayari kukosolewa
Katika hao notable alumni,nilitegemea wangekuwepo watu walioleta mapinduzi katika teknolojia siyo lazima wamfikie Elon Musk angalau wanaojulikana kimataifa,halafu ukiangalia mpangilio mbovu wa miji na majiji yetu, si ndiyo hao wasomi waliotoka hapo Mlimani walisimamia hiyo mipango miji? mnaposifia kitu muwe mmejipanga na data zilizosimama, Halafu mabarabara yanabomolewa kila baada ya miaka michache kupita,je hao wahandisi walioko serikalini ambao asilimia kubwa wametokea hapo UDSM wameshindwa kubuni barabara zitakazo kidhi mahitaji ya let say miaka 50 ijayo? Mimi ninachokiona hizo sifa mnazokipa hicho chuo,ni sifa zenye mapungufu mengi,Chuo kinatoa wahitimu wa kwenda kupokea mishahara,siyo wabunifu wa kuleta mabadiliko katika nchi.
 
#Say No To Racism.

Mtoa maada huna tofauti na wazazibar wakiwaona wabongo Zanzibar wanadai wamekuwa wengi wanachukua kazi zetu Ili Hali jamaa ni wavivu wakutupwa, ama Wasouth Africa na wageni
 
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?

Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.

Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list ni ndefu na sio watu wa kawaida, wengine ni marais wa nchi
Mbona UDOM nawaonaga
 
Katika hao notable alumni,nilitegemea wangekuwepo watu walioleta mapinduzi katika teknolojia siyo lazima wamfikie Elon Musk angalau wanaojulikana kimataifa,halafu ukiangalia mpangilio mbovu wa miji na majiji yetu, si ndiyo hao wasomi waliotoka hapo Mlimani walisimamia hiyo mipango miji? mnaposifia kitu muwe mmejipanga na data zilizosimama, Halafu mabarabara yanabomolewa kila baada ya miaka michache kupita,je hao wahandisi walioko serikalini ambao asilimia kubwa wametokea hapo UDSM wameshindwa kubuni barabara zitakazo kidhi mahitaji ya let say miaka 50 ijayo? Mimi ninachokiona hizo sifa mnazokipa hicho chuo,ni sifa zenye mapungufu mengi,Chuo kinatoa wahitimu wa kwenda kupokea mishahara,siyo wabunifu wa kuleta mabadiliko katika nchi.

Udsm Ina watawala wengi walio notable kuliko wahandisi. Pia nafkiri hawa watawala nibrahisi kujulikana kwa maana CV zao ziko sana ktk public domain kuliko engineers
 
Back
Top Bottom