round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Jamaa kajitoa ufahamu,College ya humanities 2013 kulikuwa na wanafunzi si chini ya 20 kutoka MusumbijiUdom pia wapo wengi sio udsm peke yake.
3. John Garang S.Sudannahisi kwamba,
labda wanaangalia kama vyuo wanavyosomea nje vina weledi kuliko vya nchi zao,
na UDSM ni chuo kikubwa afrika, kina tafiti nyingi, alumni wakubwa, na kipo kwenye jiji kubwa
kwa mujibu wa edurank;
View attachment 3236296
View attachment 3236297
nipo tayari kukosolewa
Nipe alumni maarufu waliosoma SUAMbona SUA wapo wengi Foreigners
Tundu lissuNipe alumni maarufu waliosoma SUA
Nipe Alumni waliofika mbali kwenye mafanikio ya career, politics, ujasiriamali, n.k.Jamaa kajitoa ufahamu,College ya humanities 2013 kulikuwa na wanafunzi si chini ya 20 kutoka Musumbiji
UDOM unajua ilianza mwaka gani niambie toka 2007 kwenda juu UDSM ina mtu gani wa maana unayemjua?Nipe Alumni waliofika mbali kwenye mafanikio ya career, politics, ujasiriamali, n.k.
Ukute walikuwa wamakonde wakasingizia ni wasumbiji 😂😂
Ndani ya nchi almost nafasi nzito 70% wamewekwa UDSM.UDOM unajua ilianza mwaka gani niambie toka 2007 kwenda juu UDSM ina mtu gani wa maana unayemjua?
Hivi shuleni ulifundishwa nini wewe?nimeuliza uwe specific utaje mtu/jina hizi hadithi zako nani anazitaka?Ndani ya nchi almost nafasi nzito zote wamewekan UDSM.
UDSM imetoa marais wa Uganda, Sudan, Congo, wewe chuo chako kimetoa kina nani ?
UDSM unayoisema ilikuwa zamani wakati huo:Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?
Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.
Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list ni ndefu na sio watu wa kawaida, wengine ni marais wa nchi
Katika hao notable alumni,nilitegemea wangekuwepo watu walioleta mapinduzi katika teknolojia siyo lazima wamfikie Elon Musk angalau wanaojulikana kimataifa,halafu ukiangalia mpangilio mbovu wa miji na majiji yetu, si ndiyo hao wasomi waliotoka hapo Mlimani walisimamia hiyo mipango miji? mnaposifia kitu muwe mmejipanga na data zilizosimama, Halafu mabarabara yanabomolewa kila baada ya miaka michache kupita,je hao wahandisi walioko serikalini ambao asilimia kubwa wametokea hapo UDSM wameshindwa kubuni barabara zitakazo kidhi mahitaji ya let say miaka 50 ijayo? Mimi ninachokiona hizo sifa mnazokipa hicho chuo,ni sifa zenye mapungufu mengi,Chuo kinatoa wahitimu wa kwenda kupokea mishahara,siyo wabunifu wa kuleta mabadiliko katika nchi.nahisi kwamba,
labda wanaangalia kama vyuo wanavyosomea nje vina weledi kuliko vya nchi zao,
na UDSM ni chuo kikubwa afrika, kina tafiti nyingi, alumni wakubwa, na kipo kwenye jiji kubwa
kwa mujibu wa edurank;
View attachment 3236296
View attachment 3236297
nipo tayari kukosolewa
Kumbe una shida ya Famous Alumni.. kweli we kisoda😂Nipe alumni maarufu waliosoma SUA
Mbona UDOM nawaonagaPamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?
Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k.
Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list ni ndefu na sio watu wa kawaida, wengine ni marais wa nchi
Katika hao notable alumni,nilitegemea wangekuwepo watu walioleta mapinduzi katika teknolojia siyo lazima wamfikie Elon Musk angalau wanaojulikana kimataifa,halafu ukiangalia mpangilio mbovu wa miji na majiji yetu, si ndiyo hao wasomi waliotoka hapo Mlimani walisimamia hiyo mipango miji? mnaposifia kitu muwe mmejipanga na data zilizosimama, Halafu mabarabara yanabomolewa kila baada ya miaka michache kupita,je hao wahandisi walioko serikalini ambao asilimia kubwa wametokea hapo UDSM wameshindwa kubuni barabara zitakazo kidhi mahitaji ya let say miaka 50 ijayo? Mimi ninachokiona hizo sifa mnazokipa hicho chuo,ni sifa zenye mapungufu mengi,Chuo kinatoa wahitimu wa kwenda kupokea mishahara,siyo wabunifu wa kuleta mabadiliko katika nchi.