Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Wanafunzi wa udom wanalalama kutokupata boom lao hadi leo na hawajui hatma yao nn...jaman waziri wa mikopo hasa college ya education sikia kilio cha watu wako.
Je mmeshindwa kuuliza uongozi wa chuo, pamoja na uongozi wa serikali ya wanafunzi?? Huyo 'waziri' anaishi hapo chuoni? Ikiwa kama hamuwezi kuhoji kwa kina jambo kama hili, je mtaweza kumhoji Mbunge?
Naona hatari kubwa ya kushindwa kudai haki ikiliandama taifa.