Wanafunzi waliochora picha za freemason na kuandika matusi kwenye mtihani kidato cha 4 ni wazima kwe

Wanafunzi waliochora picha za freemason na kuandika matusi kwenye mtihani kidato cha 4 ni wazima kwe

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kuna wanafunz wamechora picha za freemason na kuandika matusi kwenye mtihan wao wa kidato cha nne hivi awa wana hakili timamu kweli?
 
Kuna wanafunz wamechora picha za freemason na kuandika matusi kwenye mtihan wao wa kidato cha nne hivi awa wana hakili timamu kweli?

Adhabu waliyopewa ni mujarabu kabisa!! Vipi matokeo ya seminari za ndugu zangu waislam yamepanda baada ya Ndelichako kuondoka Baraza la Mitihani? Maana mwaka jana walilalamika na kuandamana wakitaka Mama huyu ajiuzuru kwa madai anahujumu matokeo ya Waislam hasa kwenye somo la Islamic Knowledge....mwaka huu somo hili lina misonge mingapi??
 
Back
Top Bottom