Adhabu waliyopewa ni mujarabu kabisa!! Vipi matokeo ya seminari za ndugu zangu waislam yamepanda baada ya Ndelichako kuondoka Baraza la Mitihani? Maana mwaka jana walilalamika na kuandamana wakitaka Mama huyu ajiuzuru kwa madai anahujumu matokeo ya Waislam hasa kwenye somo la Islamic Knowledge....mwaka huu somo hili lina misonge mingapi??