Wanafunzi waliofukuzwa UDSM ni mkono wa JK

Ni nani asiyemjua JK kwa visasi? Mashishanga,Qares,nk wako wapi?
 

ushuzi na mashudu!
 

Hapo nakuelewa, usistaajabu kabla hajaondoka utaanza kuona ili uwe mwalimu wa zamu lazima uwe unasali ijumaa ama sala tano. Kimebaki shule za msingi tu kama sekondari limefika primary kutashindikana nini?
 
me nadhani tusichanganye siasa na masuala ya utendaji.hawa wanafunzi wamefukuzwa na mukandala,hebu tusilaum wasiohusika.Jk amesemwa sana lakini hajawai kulipa kisaSi wala kujibu iweje alipize kwa madent?tuangalie makoSa ya madent b4 kumlaum kikwete.
 

Source please....!
 
Huo ni udaku. Mpelekee Shigongo.
 
Huo ni udaku. Mpelekee Shigongo.
tumeshakuzoea hapa JF, wewe ndie mdaku wa kwanza. Kwani nani amesema Shigongo ni mdaku? mbona una majungu we mzee?
 
ni bora wafukuze wanafunzi wote wa vyuo vikuu, yabaki majengo, ili tukajiunge alshabab coz tumejaa makamanda wa cdm
 

Mbona umemtetea tu haujatuambia ni nani au yukoje?
 
tuache kama yalivyo kwani kuna sili walio fukuzwa na walio wafukuza nazani kila mmoja anajua nini tatizo
 
Na BUKOBA kuna wafunzi 5 wamefukuzwa shule walihudhuria kongamano liliandaliwa na CDM wamefukuzwa hii serikali ni nuksi

Tujuze zaidi juu ya hili. Ilikuwaje? je, ni wanafunzi wa chuo gani au college ipi au sekondari?
 
hapa nimepata nyingine wakuu, ni kuwa serikali iliyopo madarakani ina hasira na hawa vijana kwani wamekuwa chachu ya kuelimisha wananchi ni kukidhoofisha chama fulani hadi kikapoteza viti vingi bungeni, pamoja na mkono wa J. pia hii ni bakora tosha kwa kukampenia upinzani.
 
Kama wazungu kuzomewa walihuzinika sana na ilikuwa ni silaha pekee, hata kikwete hapendi kuzomewa. Nakubaliana kuwa yawezekana analipiza kisasi kupitia msomi mwenye false consciousness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…