Wanafunzi waliomaliza azania high school mwaka 1997 mpo wapi?

Wanafunzi waliomaliza azania high school mwaka 1997 mpo wapi?

Gokona

Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
62
Reaction score
9
Wadau wote waliomaliza Azania high school kidato cha sita mwaka 1997 mpo wapi?Tutafutane dunia imekuwa kama kijiji ili tubadilishane mawazo na mitazamo.Nawasilisha hoja na michango ya mawazo inahitajika.
 
Mkubwa endelea kuganga njaa kama hawakujibu achana nao we angalia mbele mkubwa.
 
Back
Top Bottom