G Gokona Member Joined Feb 16, 2010 Posts 62 Reaction score 9 Feb 18, 2010 #1 Wadau wote waliomaliza Azania high school kidato cha sita mwaka 1997 mpo wapi?Tutafutane dunia imekuwa kama kijiji ili tubadilishane mawazo na mitazamo.Nawasilisha hoja na michango ya mawazo inahitajika.
Wadau wote waliomaliza Azania high school kidato cha sita mwaka 1997 mpo wapi?Tutafutane dunia imekuwa kama kijiji ili tubadilishane mawazo na mitazamo.Nawasilisha hoja na michango ya mawazo inahitajika.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Feb 18, 2010 #2 Mkubwa endelea kuganga njaa kama hawakujibu achana nao we angalia mbele mkubwa.