T tenanzinyo Member Joined Dec 28, 2012 Posts 64 Reaction score 23 Jun 20, 2013 #1 jamani nao watu ambao wamesoma shule ya selous kuanzia miaka ya 2000 hadi 2007 kama mpo humu jf ili tufahamiane maana hapo miaka hiyo hata simu ilikuwa inshu ni mwendo wa barua tu nataka tufahamiane.
jamani nao watu ambao wamesoma shule ya selous kuanzia miaka ya 2000 hadi 2007 kama mpo humu jf ili tufahamiane maana hapo miaka hiyo hata simu ilikuwa inshu ni mwendo wa barua tu nataka tufahamiane.