Wanafunzi wambaka Mwl. kwa zamu..

Wanafunzi wambaka Mwl. kwa zamu..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Taifa hili laenda wapi jaman.. Imetokea huko Bagamoyo..

Source-@ TBC fm. Magazeti.
 
ni vizuri kutoa habari kamili ili kujua nini hasa kilipelekea kubaka mkuu
 
Taifa tunalipoteza ss wenyewe kwani walimu wengi hawajiheshimu katika mavazi waingiapo darasani hasa wa kike,
 
ni vizuri kutoa habari kamili ili kujua nini hasa kilipelekea kubaka mkuu

Nimeisoma katika gazeti mwananchi, haijaelezwa kisa ni nini ila wanafunzi 8 wamembaka mwalimu wao kwa zamu na kesi yao ndio ipo mahakamani.
 
Back
Top Bottom