Tulia basi ueleze unachotaka tujue. Sasa nitachangia nini hapa?Mbunge wa viti maalum chadema bi anamery stlla amesema kuwa kuna wanafunz wanachmaba kwa kutumia manyasi na majan shuleni kwao kwa sababu ya kukosa maji,,,,,,
yeboooo,,,,,,halafu mama akasema jamaniiiiii
Tulia basi ueleze unachotaka tujue. Sasa nitachangia nini hapa?
hahahahahMbunge wa viti maalum chadema bi anamery stella amesema kuwa kuna wanafunz wanachamba kwa kutumia manyasi na majani shuleni kwao kwa sababu ya kukosa maji,,,,,,pia amesema kwamba,kwa sasa maeneo mengi ya vijijin licha ya kukosa nyumba za walimu,hata mweza walimu hawana,matokeo yake walimu wanakalia madawati wawapo ofisini,
My take:KUCHAMBA KWA KUTUMIA NYASI NA KARATASI KWA ZAMA ZA SASA......?????
tumethubutu, tumeweza tunazidi kusonga mbele....
haya maneno ameyasema bhana,,,,,
Mbunge wa viti maalum chadema bi anamery stella amesema kuwa kuna wanafunz wanachamba kwa kutumia manyasi na majani shuleni kwao kwa sababu ya kukosa maji,,,,,,pia amesema kwamba,kwa sasa maeneo mengi ya vijijin licha ya kukosa nyumba za walimu,hata mweza walimu hawana,matokeo yake walimu wanakalia madawati wawapo ofisini,
My take:KUCHAMBA KWA KUTUMIA NYASI NA KARATASI KWA ZAMA ZA SASA......?????
Mbunge wa viti maalum chadema bi anamery stella amesema kuwa kuna wanafunz wanachamba kwa kutumia manyasi na majani shuleni kwao kwa sababu ya kukosa maji,,,,,,pia amesema kwamba,kwa sasa maeneo mengi ya vijijin licha ya kukosa nyumba za walimu,hata mweza walimu hawana,matokeo yake walimu wanakalia madawati wawapo ofisini,
My take:KUCHAMBA KWA KUTUMIA NYASI NA KARATASI KWA ZAMA ZA SASA......?????
Hata afadhali hio shule wana makaratasi, nyingine hawana wanatumia mawe
Hata afadhali hio shule wana makaratasi, nyingine hawana wanatumia mawe
bora hao, huku kwetu wanafunzi wanachambia mawe
Hivi hakuna neno mbadala la 'Kuchamba'?
Nakushukuru sana Mkuu Bajabiri kwa ufafanuzi.hilo ndo neno fasaha MDAU,CHEKI KAMUSI YA KISWAHILI (HASA YA TUKI)