Wanafunzi wanane wambaka mwalimu kwa zamu

Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!

mpenzi wangu nilimwambia,usiumize sana kichwa kutaka mitoto ya siku hizi iwe na tabia njema. Wazazi wa miaka hii ni bomu kabisa,watoto wao wako kama wamekulia majalalani. Yaani ni laana tupu! Wazazi naomba tubadilike. Watoto kuwa na tabia mbovu ni our failure to raise them in a proper way.
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?

Mbona majina ni ya watu wa mwambao, kina Mhina wa Tanga, etc. Hapa wasukuma wamefikaje.
Ila hii ya hawa vijana kali. Hawa vijana hawana utu hata chembe. Ni kama wanyama. Hata wanyama afadhali, wanyama hawabaki jike kwa zamu kama hawa walivyofanya.
Wabakaji katili kama hawa ni kuwahasi tu ili waanze kufikiria kwa kichwa.
 
Misuba hiyo, watu wenyewe ndo hao wanashuka mistari kwenye booklet. mie shuleni kwetu jamaa walimlewesha mwenzao wakamtembelea makalioni! Na wadada nao nguo hizo jameni!
 
Baadae wakifeli wanamlaumu Dr Ndalichako. Wakifaulu hata Mungu atashangaa
 
Walimu wenyewe nao wanachangia viwalimu vya siku hizi vi csta du alafu wanavaa nguo za mitego chaki ikidondoka akiiokota huku nyuma anawaachia balaa hao wanafunzi wataacha kummezea mate

Halafu matukio yote yametokea mkoa wa Pwani, lazima kuna tatizo hapa.
 
Hawa watoto wanastahili adhabu kali wakikutwa na hatia.Maskini huyo mwalimu sijui kama ataendelea kufundisha kwenye hiyo shule hapo ameshaathirika vibaya sana kisaikolojia.
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?

hypothesis nyingine utata mtupu. Wasu-**** ni wabakaji. Tabia zao zinafanana na jina la kabila lao. So funny!
 
Maswali ya kujiuliza:
Alibakwa saa 9.00 alasiri na wanafunzi 8 kwa zamu wapi? Je alikuwa amelewa au alikuwa timamu, Kama alikuwa hajalewa huyo inawezakana alitongozwa na mmoja wa wanafunzi na inawezekana ana tabia ya umalaya. Katika mazingira ya kawaiada mwalimu anayejitambua kuwa yeye ni mwalimu hawezi kubakwa na wanafunzi kwa staili hiyo, huyo inaonesha alikuwa na ukaribu wa aina fulani ambao sio wa kiulimu na wanafunzi hao. Achunguzwe vizuri huyo mwalimu atakuwa amesababisha yeye.
 
Si ndo mnavyotaka tuishi hvy cku hz,mambo mengine ni janga la kitaifa lkn nyny mnaangalia kwa jicho lingine bac ngoja na sisi tuangalie kihvyohvyo

I know you are heading somewhere but i wonder why via nonsense road.
 

Habari hii ina masuala mengi kuliko majibu.
Uharamia huo ulifanyika saa tisa alasiri. Je ulifanyika wapi? nyumbani kwa mwalimu, guest au kichochoroni?


Lakin msingi mkubwa hapa nafikiri ni mwalimu menyewe kupenda kuvaa nguo zilizokosa adabu kwa jamii na kuvutia wanafunzi kuelekea kumbaka.

nalaani kitendo hicho lakin vile vile nashauri lazima kuwe na dressing code kwa waalimu wanapoingia na kufundisha skuli.
Kuweza kutenganisha nguo za beach, nguo za usiku na nguo za kazini.

 
innocent until proven guilty,..stop passing judgement you people!!!!aaaaaghhh...
 

Binafsi nina shaka kuwa huyu mwalimu aliwatega wanafunzi kwa kuwa valia nguo za kimtegomtego.

Sasa wanafunzi walipomfanyizia yeye kwa aibu ikabidi aseme amebakwa.

MUDA: Saa 9 Alasiri

GUEST HOUSE: Shuleni


Kwanza huu muda ni masomo na walimu na wanafunzi bado wapo shuleni, iweje abakwe hadharani???

Guest House iliyotumika ni Shuleni. BINAFSI sipati 😛hoto:😛hoto:

Ipo namna hapa Polisi wachunguze, tunaweza kuwashutumu hawa vijana kumbe Mwalimu ndiye chanzo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sio wanafunzi wala binadamu? Mwalimu ni Mzazi wako kwa nini umfedheheshe maisha yake yote? Naomba wote wahasiwe mara moja ndio kesi iendelee? Hao ni hatari kwa maisha ya jamii nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…