Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Habari hii ina masuala mengi kuliko majibu.
Uharamia huo ulifanyika saa tisa alasiri. Je ulifanyika wapi? nyumbani kwa mwalimu, guest au kichochoroni?
Lakin msingi mkubwa hapa nafikiri ni mwalimu menyewe kupenda kuvaa nguo zilizokosa adabu kwa jamii na kuvutia wanafunzi kuelekea kumbaka.
nalaani kitendo hicho lakin vile vile nashauri lazima kuwe na dressing code kwa waalimu wanapoingia na kufundisha skuli.
Kuweza kutenganisha nguo za beach, nguo za usiku na nguo za kazini.
hakuna mihadarati walimu wamezidi kuvaa visketi vifupi ndo maana madogo wanapata mzuka wanawapakaza maticha gundi mwanzo mwishoo...
hakuna mihadarati walimu wamezidi kuvaa visketi vifupi ndo maana madogo wanapata mzuka wanawapakaza maticha gundi mwanzo mwishoo...
Mie nadhani upande wa mashtaka una kazi ya kuestablish guilty ya hao watoto. Na wamuingilie wote nane hapohapo shule! Napenda kuchunguza tabia ya mwalimu huyu ili tujue.
ukweli ni kwamba wanafunzi wengi ni wabovu sana,wengine mpaka wanabwia unga na ndo maana kila kukicha matokeo yao yanazidi kuwa mabaya.
Inakuwaje wengi wa wanafunzi wawe wasukuma wilaya ambayo sio asili yao, hata hivyo majina yaliyotajwa hakuna jina la kisukuma hata moja na wasukuma ni kawaida kabisa kuwa na majina ya kisukuma aidha yote au surname, kwa hiyo utafiti wako haujakaa sawa labda una ugomvi tu na wasukuma.wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.
Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.
Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.
Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.
Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.