Wanafunzi wanane wambaka mwalimu kwa zamu

kesi ina utata kuwalaumu vijana inaweza kuwa sawa/sisawa kupata maelezo upande wa pili muhimu
 
Wakati nasoma nlikuwa mtundu sana.O'level na A'Level.

Hata mie natubu kwa mwenyezi mungu na kwa wana jf kwamba nimewahi kushiriki ktk kubaka wakati nipo A- Level pale Kwiro sec. Japo sikuonja nyapu ya yule mtoto wa form 4 wakiti huo (Nawenge) lakini me nilikuwepo wakati wenzangu 6 wanamnanilihi yule mtoto kuanzia saa 5 usiku mpaka saa 9 za manane. Kwa kweli niliogopa
 

duh!!inasikitisha sana na inaelekea iyo mitoto inavuta bangi kupitia pua
 
Hivi wabakaji siku hizi wanapewa dhamana?

Na huyo mwalimu anapigwaje mtungo mchana? Alilewa?

Kuna kitu hapo hakiko saw a
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?

bagamoyo sec miaka nenda rudi over 75% huwa wanatoka tanga na kilimanjaro, the rest are from iringa, mbeya, kigoma & tbr. Wasukuma ikitokea bahati huwa hawazidi 5 kwa mwaka
 
Kwa tabibu ya majina ya wanafunzi bila shaka mwalimu atakuwa wa jinsia wa kike!

Ila hawa wanafunzi wanahitaji maombi yenye upako haswa!

Na nina hofu hii sekondari ni ya kata.
Hasara tupu!

mkuu b'yo is/was one of the best govt schools in tz. ni shule kongwe na inayoheshimika sana baadhi ya products zake ni Joshua nasari dogo wa arumeru na wengine wengi wapo ktk nafasi nyeti govt, mainginia, madaktari etc. Ni boarding school ambayo ukianza kuzirank shule za govt kutoka kundi la special schools then kundi la pili ni hili la pugu, minaki, bagamoyo.
hii shule ilikuwa ni kama seminari na wanafunzi walikuwa wanasoma sana na ufaulu ulikuwa ni wa hali ya juu kupita minaki na pugu. Matatizo yameanza kipindi cha 2005 kuja juu.

Nalaani sana hiki kitendo, mwalimu ni mzazi wa pili.
 
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.

Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi ......

Yerick Nyerere
, kesi iliishaje?


Kwa habari zilizopo Mwalimu husika ameamua kunywa sumu kukwepa aibu toka magazetini,mana amehisi kuaibika sana..na sasa madaktar wanajitahd kuokoa maisha yake

Ngaliba Dume, Madaktari walifanikiwa kuokoa maisha ya Mwalimu?
 
Hii Kesi ina utata ...dizaini kuna mmoja ana mmiliki huyu Mwalimu akapigwa Mtungo...Maana amebakwa MChana KweupeEe

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nchi hii haina haki wapendwa!!
Watuhumiwa wote nane waliotajwa "no one was involved in raping!"
mbakaji alijulikana na hakufanya necta ya form six coz alitoroka moja kwa moja baada ya kujua atakamatwa kutokana na utafiti uliofanyika!!,,
cjui kesi iliisha vp bt wote waliofikishwa mahakamani hakuna hata mmoja aliyehusika!!
 

UMEJUAJE HAWAHUSIKI? au unaota, unalotetea ni lipi, uwe wazi
 
Pole sana mwalimu,hao wanafunzi wachukuliwe hatua kali za kisheria,lakini kwa walimu wakike chukueni tahadhari kwenye haya:
.Hakikisheni mnavaa nguo zakusitiri miili yenu,yaanai sketi ndefu na blowz za kusitiri kifua wakati wote.
.Acheni kuvaa nguo zakubana miili kupita kiasi.
.Waheshimuni wanafunzi na nyie watawaheshimu.
.Punguzeni social distance na wanafunzi wenu
.Walimu tufanye kazi kwa umoja,tuache kujiamini kupita kiasi!Kwenye mzingira hatarishi,jaribuni kuomba kampani ya walimu wenzenu .
 
UMEJUAJE HAWAHUSIKI? au unaota, unalotetea ni lipi, uwe wazi

most of them walikuwa hawapo shuleni cku hyo rolcal ilipopitishwa kuna baadhi walikuwa wameenda nyumbani maana 2kio lilitoke siku moja baada ya form six graduation!, na wengne walitajwa kutokana na kura zilizopigwa na wanafunzi baadhi ya wanafunzi waliandika majina ambayo walijua hayapo kabisa hapo shuleni kumbe hatakama jna la mwanzo limetokea 2 ila likatofautiana na la mwisho ulikuwa unaitwa na kubambikiwa kesi!,,
nina uhakika na ninachokisema maana i was there!
 

haya ndo yale yale ya kesi ya Zombe
huyu mwl alikuwa anamjua fika mtu aliyembaka ambae inasemekana humu alitoroka na hakupatikana Polisi wakaendelea na kesi kwa kupeleka vijana wengine mahakamani hawa watoto kuna abadhi walikosa dhamana na kuswekwa rumande kwa masiku kadha na sasa mnasema wote wameachiwa kuwa hawahusiki na kesi ya kubaka wamefanya mitihani na kufanya vizuri.

swali langu ni kuwa hawa watoto wamelipwa fidia yeyote kwa kesi ya kubambikiziwa? Tuna matatizo makubwa na jeshi letu la polisi nawakilisha.
 

kwa ushauri wako, na kwa kuwa unajua lile kosa mungu tu nde atatoa hukumu siku za baadae, na ili walau, ujiweke mazingira ya legitimacy, unadhani njia gani ilikuwa itumike kuwabaini waliomtia mtungo mwalimu, au japo kama una a,b,c.... za wahusika maana wakifika mtaani wanajadili ingawa kwa kificho..toa maoni yako
 

mhusika alijulikana na alitoweka kama nilivyoeleza hata acsee hakufanya,, cjui kama sasa ameshatiwa nguvuni au ndo mnyonge mnyongeni mpaka afe,, maana polisi ya tz bhana,, hakuna acyeijua,, hata mimi leo nikakamatwa kwa kosa lolote kama nina hela ckai jela hata cku moja!",
hukumu ya kibinadam tanzania haipo tena,, tumuachie mungu!!
"KARMA HAS NO DEADLINE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…