Wanafunzi wanaoboreka Darasani, Suluhisho nini?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hivi tufanye nini hasa kwa Wanafunzi ambao huwa wanaboreka sana darasani? Mimi ni mfano hai wakati niko shule na ni ngazi zote kuanzia Shule ya msingi mpaka Sekondari nilikuwa naboreka sana darasani na saa nyingine nilikuwa nasinzia na kuamshwa na viboko, na sababu kubwa ni kwamba kile alichokuwa anakifundisha mwalimu nilikuwa nakijua tayari hivyo kwangu ilikuwa ni kama Mwalimu anafanya marudio tu na matokeo yake ni kusinzia!

Sasa hili tatizo naamini kuna baadhi Watoto au wanafunzi pia wanalo huko Mashuleni, sasa ni nini kifanyike kwa hawa Wanafunzi wanaoboreka Darasani, kwa maana unaona kama Mwalimu anakupotezea muda vile, na Mtihani ukija unauona ni rahisi sana, sasa tufanye nini?
 
mkuu we unasinzia
mi nilikuwa nafika saa mbili saa sita naangalia uwezekano wa kutoroka
 
ikiwa unaona elimu ni ghali..basi jaribu ujinga...
nan kasema kusoma ts fun??discipline inabd iwe mbele kama tai na ujifunze kuwa mtu makini.
labda ukiwa mtoto u may.be entertained na michezo,elimu ukubwani huku.na michezo wapy na wapy?lazma uumie for a while but for a worthy cause
 
Shtua kama joti..alafu unaendelea kufundisha
 
Kwa walimu tumejifunza classroom management.Malimu anatakiwa kuwafahamu wanafunzi wake ie nani ni slow learner na nani ni fast learner.akifahmu hilo inatakiwa a balance ili asiwabore fast leaner wala slow one kwa kuongeza vitu vigumu ambavyo fast one havijui wakati huo huo afundishe vi2 rahisi ili kumsaidia slow learner.pia mwalimu anatakiwa awe creative darasani kwa kutoa viburudisho.la mwisho mwalimu awe analifahamu somo lake vema,asiwe mbabaishaji.
 
wapewe kazi za nje wakati wenzao wanafundishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…