AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
matokeo ya rafiki yangu acountanc A,economics C,COMMERC C,Bam S,GS kafeli je anaweza kujiunga na chuo kafeli gs?!
Vijana F katika somo la General Studies ni penalty. Huwezi kwenda chuo bila kupata pass GS, labda diploma, suluhisho ni kureseat somo husika.
matokeo ya rafiki yangu acountanc A,economics C,COMMERC C,Bam S,GS kafeli je anaweza kujiunga na chuo kafeli gs?!
Hapo tayari ana div 3 ya penalty, Chuo atapata ila asitegemee kupata mkopo kutoka loan board. Kuna jamaa yangu mwaka 2008 ilimtokea kitu kama hicho, ila iwe utaratibu umebadilishwa kwa sasa.