Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Spesio pipo mko juu,gifted,talented and intrinsic pipo!!! Vipaji maalum sijawai kuona shule hapa TZ yenye vipaji maalum.
Maana ukisema vipaji ni field kubwa mfano mpira,riadha,kuchora,hesabu,sayansi,mechanics etc Ukitaka kujua vipaji maalum nenda kwa mafundi redio,magari na ujenzi ambao wengi wameishia la saba,form four but they do things kuliko wewe unayetamba kuwa am special.
Mkuu NN Ni kweli kabisa wahandisi wa Kitanzania au Kiafrika hawajafanya kile ambacho wahandisi wa Ulaya na Marekani wamefanya unaweza kuwalaumu hawa watu lakini ni kuwaonea tu Mkuu!
Mkuu huwezi kutumia muda mwingi kugundua wala kutengeneza kitu cha maana wakati wewe ni Nguzo ya katikakti Umemaliza Chuo na una lundo la dependants ambao wanategemea uwape ada na usaidie wazazi. Maisha Magumu na ya Kimaskini zimefanya watu wengi kukimbilia kuajiriwa pale wanapomaliza vyuo sasa usitegemee Mtu aliyeajiriwa Voda au Tanesco anafanya kazi mpaka saa kumi na Mbili jioni atapata muda wa kukaa hata na Circuit Maker kujaribu kudesign hata Traffic light yenye akili, ni ngumu sana mkuu.
aaa tulikutana nao chuo kikuuu na wenine tukawaburuza ...hakuna kijapi wala nini
Maisha ni kupambana katika hatua zote....kuna watu walikosa nafasi kwa shule za serikali walipomaliza darasa la saba...ila wamepambana hadai wengine wamekua maprofesa (kama tukizungumzia academic excellence)...
aaa tulikutana nao chuo kikuuu na wenine tukawaburuza ...hakuna kijapi wala nini
Sawa kabisa bw. Roya Roy. Kuna watu walifeli la saba, fom foo, na fom siksi lakini leo hii wana maisha mazuri kushinda hao maprofesa
unachnganya madesa mkuu, hatuzungumzii pesa na mjumba
Sawa kabisa bw. Roya Roy. Kuna watu walifeli la saba, fom foo, na fom siksi lakini leo hii wana maisha mazuri kushinda hao maprofesa
Mkuu NN Natambua concern yako na mimi ni Mmoja wa Wanafunzi waliofanikiwa kufaulu vyema form four Nikachaguliwa kujiunga na Shule moja wapo ya Vipaji Maalumu ( Tuondoe chuki dhidi ya hawa watu ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya wanaomaliza form four wana wish kwelikweli kuchaguliwa in among those schools and being one of the I felt very good).
Hamisi kishindindo naomba uelezee hiyo tofauti ya intelligence na ingenuity.
I will use English. So bear with me.
The Merriam-Webster English dictionary defines Ingenuity as "skill or cleverness that allows someone to solve problems, invent things, etc."
The same dictionary defines Intelligence (with regards to the power of the mind for the word intelligence has several meanings) as "the ability to learn or understand things or to deal with new or difficult situation"
The Oxford Advanced Learner's dictionary also offers pretty much the same definitions. Now let's get down to the nitty-gritty of those two definitions as they relate to our current state of affairs.
Ingenuity: the definition tells us it has more to do with solving problems and inventing things. In order to do that you need to have the wherewithal or the skill(s) necessary to do so.
We have a gazillion of problems and you know them. We are not good at solving them and that's why they have been there since time immemorial. Ingenuity doesn't only have to do with technical issues alone but also policy ones as well.
What ways have we invented to make our lives better, to tame our environment, or to eradicate killer diseases? We can't even invent other sources of alternative energy to provide us with viable and reliable electricity. Hydro-electric power, solar energy, and nuclear energy were all invented. But is that the end of invention with regards to that?
Intelligence; the ability to learn or understand things. This has more to do with learning. You are in school, you get taught things by the teacher and you learn and understand. This is more academic than ingenuity.
We have a lot of people that go to school to learn. Many score well on tests and exams. Other than that they don't do jack shit. Why is that? It's because they lack ingenuity (refer to the definition above). That is why we are plagued by the same problems year in and year out with no end in sight.
To solve our many nagging problems you need a combination of both ingenuity and intelligence. You need intelligence because you need to study, identify, and understand those problems. In order to solve them you need ingenuity.
somo limeeleweka hamisi. Ahsante.
Umesahau kunigongea laiki
nikumbushe b'dae. Huoni via mobile hapo chini?
Na log hujanifundisha bado....ahadi ni deni ujue.
Naishukuru sana Ilboru! Imenitengeneza na imeendeleza kipaji changu. Am special..kila mtu anaapreciate!
kumbe mpo,najaribu kuwakumbusha kuwa tunahitajikuuona ule uspecialwenu sasa!mazingira ni magumu ila hiyo sio sababu ya nyinyi kushindwa kufurukuta,mmejaribu mkashindwa?tunataka kuona makeke yenu sasa,ukwelinilikua nawakubali sana ukiondoa wachache ambaoni Fake.
Naona ukisikia hilo neno special linakuumiza sana. Inabidi tu ukubaliane na hali halisi, duniani kuzidiana kupo, hatuwezi kuwa sawa.nini mchango wako kwa Taifa hasa Tz kwa kipaji chako cha kufaulu Mitihani darasani? Unaonekana mbumbumbumbumbuuuu sana wewe. Kama kipaji unakuja kujisifu humu tunamojadili mustakabali wa Taifa kwa maendeleo yetu. Kwenda kalime kwani haya yamekushinda.