wanafunzi wote wa kidato cha sita tuungane kwa tamko moja kupinga maamuzi ya jkt......awamu ya 3

wanafunzi wote wa kidato cha sita tuungane kwa tamko moja kupinga maamuzi ya jkt......awamu ya 3

frank mkweli

Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
92
Reaction score
12
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
 
binafsi suing utaratibu wa sasa wa kwenda JKT. Serikali ijipange vyema zaidi
 
msijali wajameni ni makosa ya kiufundi tu yamefanyika
 
serikali ijipange jaman kama mgomo me ntakuwa kiongozi wenu jopo kwa upande wangu nimeshapita jkt lakin naona ni wastage of time elimu kwanza ukakamavu badae
 
Me nafikiri vyuo ndio vina makosa. Maana Genaral Muhaga alishasema awamu ya tatu ipo. Sasa kwa nini Wakuu wa Vyuo hawakuwasiliana na Jkt kabla ya kufungua vyuo? I hate politics
 
waache watusumbue na nchi yao ila 2015 wajue itakuwa zamu yetu kuwasumbua....!
 
hawajielewi hawa msimamo manzo mwisho elim kwanza ukakamavu baadae ndo habar ya mjini etiiii awamu ya tatu ndooo hiiii wamechukua kwa herufi na ya nne lin nachuo je wanataka 2zeeke mtaan hawa
 
hawajielewi hawa msimamo manzo mwisho elim kwanza ukakamavu baadae ndo habar ya mjini etiiii awamu ya tatu ndooo hiiii wamechukua kwa herufi na ya nne lin nachuo je wanataka 2zeeke mtaan hawa

tuzeeke mara ngapi! mi nimechoka nimechakaa hapa! hawajielew kabisa hawa! sa sijui wanaona sifaa ama nini, mijitu mingine bana, aaaagghhhh!!!
 
Back
Top Bottom