Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
kiukwel m naona cha mcng zaid wanafnz tuhmize pia waziri kujiuzuru kwa ujinga anaoruhuxu kfanyka ktk nyanja ake na kuyaacha mpaka saiv ajaongea wala kutoa tamko lolote anadhihirisha udhaif na unyonge katika nyanja na wadhifa wake kiujumla na hivyo basi HATUFAI KATIKA ELIM ENDELEVU
nayakmbka saana maneno ya mh mbilinyi(sugu) alisema wanaopewa kuiongoza na kuisimamia elim wao wenyewe elim zao za kuungaunga saana. sasa watawezaje ona mbali watu awa?
Hiv huko kambini kuna watoto wa wahnd na waarab kwel?maana kwenye mambo mengne wao ni watanzania lakn mambo ya jesh cwaon kabsa hata kwenye hzo post cjaona akna pratmesh, na akna patel kabsa ni wakna sie tu
Uliza mtu aliyeenda jkt kanembwa 8241st intake....
tulikua na binti wa kiispaniola..
alkua anaitwa 'EMELIANA'
kama muispanyola kaenda sembuse hao wapenga makamasi kwenye mashati...
Sugu yupi...?
Au ndo yule ----- aliyeimbaga mitusi (anti virus) kumkejeli ruge wa clauz....
au ni yule mwanamasumbwi wa bungeni....
jamani lile ni liboya tu linaelea mpaka kwenye hewa...
jaman cha ajabu zaid wakat wazir wa Ulinzi anatangaza bungen kuwa kuna awamu had 4 na Mawazir wa Elimu walikuwepo bungen wanasikia kabisaaa lakn hawakutoa tamko lolote..inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
Na mtafute Nchi yenu ya kwenda kuishi Senzy
jaman cha ajabu zaid wakat wazir wa Ulinzi anatangaza bungen kuwa kuna awamu had 4 na Mawazir wa Elimu walikuwepo bungen wanasikia kabisaaa lakn hawakutoa tamko lolote..
'damn i hate politics.........'
Nakuunga mkono,kama vp tujiorganise tuliianzishe kugoma,hatuwez kuvumilia huu upuuuz
mfano wa tamko hilo ni kama.....!!
elimu kwanza ukakamavu baadae...