Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Tetetetee Al-shabaab..
umekuja, mimi nakuogopa sana mkuu...
kuna vitoto flani vinakuita pepo la matusi....
hebu nitajie ka1
Kapo katoto fulani ni kamwenyeji kangu kule MMU..
asee kanakuogopa kama moto atiii
nimejifanya juha na kwenda TCU kuuliza ila swali kuhusu mstakabali mzimah wa chuo nikaambiwa niingie ofisi namba kumi nimeona na mama mmoja ivi apo ofisini... Nanukuu maneno aliyoniambia ''Mwanangu umepata chuo... Nikajibu ndio mama... Akanijibu haya kajiandae kwenda chuo achana na izi habari za jkt''. Jamani sikuridhika nilipotoka hapo nikafunga safari mpk chuo nilichopangwa nikawambia jina langu nimeliona katiyawaliochaguliwa kwenda jkt... Jibu nililopewa ''kijana unatakiwa kuripoti chuo tarehe 14 ocbr failure to do so zikipita wiki mbili hatujakusajili tunagawa nafasi yako''.........
Kakoyo092 mbona hukufunga safari kwenda makao makuu ya JKT?
sasa mnaanzia humu JF hayo maandamano yenu?
Vijana waliochaguliwa kujiunga na jkt
awamu ya tatu na pia wamechaguliwa
kujiunga na vyuo vya elimu, ambao wanataka
kuahirisha mkataba wa jkt, wanatakiwa
kuandika barua makao makuu ya jkt kuomba
kuahirisha mkataba wa jkt. 1. Barua binafsi ya kuomba kuahirisha mkataba iwe na picha yake. 2. Nakala ya barua ya kuchaguliwa kujiunga na chuo (joining instructions) 3. Barua hiyo ieleze kuwa utajiunga na jkt baada ya kuhitimu masomo. 4. Barua zao zifike makao makuu ya jkt kabla
ya tarehe 02 oktoba 2013. Angalizo kujiunga na jkt kwa mujibu wa sheria ni
lazima. Hivyo ni wajibu wa kila muhitimu
kuhudhuria mafunzo hayo.